Alichokisema Davido baada ya jina lake kutotajwa kwenye tuzo mwaka huu
September
23, 2016 jina la msanii Davido kutoka nchini Nigeria linazidi
kuzungumzwa kila kona na safari hii sio kwa uzuri sana mtu wangu,
maswali ni mengi juu ya ukimya wake kwenye kiwanda cha muziki. Hii
imemfanya Davido kufunguka juu ya sababu za kupotea kwake.
Jina la Davido limekosekana kwenye
vipengele vya tuzo nyingi zilizotolewa na kutajwa mwaka 2016, Ish hii
imemfanya mmoja kati ya mashabiki wake kuandika kwenye Twitter juu ya
nini kinachoendelea.
Leave a Comment