Pop Staa Lady Gaga anampe heshima shangazi yake Joanne kwa kuipa jina
album yake Joanne inayotoka Oct. 21. Joanne ni dada yake baba mzazi wa Lady
Gaga alifariki akiwa na miaka 19 kwa ugonjwa wa Lupus mwaka 1974. Jina la
katikati la Lady Gaga ni Joanne. Album itakuwa na wasanii kama Mark Ronson,
Father John Misty, na Hillary Lindsey Hii ni album ya […]
The post Lady Gaga atangaza ujio wa album mpya. f0r other news visit www.fredrickfrestus.com
Leave a Comment