https://www.profitablegatecpm.com/d5y14gf9mv?key=ea205d3b54dc213bb609cceb0fea9a6c

Meneja Sallam azungumzia Ali kiba kufanya show kama msanii wa kushitukiza kwenye show ya Diamond

International Meneja wa Diamond Platnumz ‘Sallam Sk’ ameongea na Sammisago Kupitia ENews leo kuhusu Ali Kiba kufanya show kama msanii wa kushtukiza kwenye jukwa moja na Diamond Platnumz. Sallam anasema “Sisi hatukuambiwa kama Ali Kiba atakuwepo kwenye show kwa hio Ali Kiba alikuwa kwenye show kama Suprise, nashukuru muziki wetu wa Tanzania unazidi kukua, tulichofanya […] The post Meneja Sallam azungumzia Ali Kiba kufanya show kama msanii wa kushtukiza kwenye jukwa moja na Diamond. appeared first on fredrickfrestus.com

No comments

Powered by Blogger.