https://www.profitablegatecpm.com/d5y14gf9mv?key=ea205d3b54dc213bb609cceb0fea9a6c

hizi ni picha za Diamond na zari kwenye bata baada ya birthday party.


Ikiwa ndio Weekend ya Zari kwaajili ya kusherehekea Birthday yake, imekuwa miongoni mwa stori zinazofuatiliwa zaidi kwenye mitandao ya kijamii.

Ndugu zake Diamond kama Romy Jones, Esma na hata mama mzazi wa Diamond hawakutoa ujumbe au kheri ya siku ya kuzaliwa kwa Zari kitu ambacho pia kimeongelewa zaidi.

Hizi ni picha za Couple hii Diamond na Zari kwenye bata lao Zanzibar.






No comments

Powered by Blogger.