huyu ni msichana alieanzisha tovuti ili kusaidia wajasiliamali..
Kutana na msichana mjasiriamali aliyeamua kutumia elimu yake aliyopata kutengeneza tovuti ambayo inawasaidia wakulima kuuza mazao yao. Msichana huyo mwenye umri wa miaka 17, anasema kuwa "nimeamua kufanya hivyo ili kuinua uchumu wa nchi yetu". Alipata ujuzi huo katika taasisi moja hapa nchini ambayo inajihusisha kufundisha kompyuta kwa wasichana. kwa zaidi tembelea tovuti yake www.bitomarket.com

Leave a Comment