https://www.profitablegatecpm.com/d5y14gf9mv?key=ea205d3b54dc213bb609cceb0fea9a6c

Picha: Chris Brown alivyoingia mombasa. ...


Tunajua msanii kutoka  Marekani Chris Brown ni mmoja ya wakali ambao wamepewa hati miliki ya stage ya tamasha la Mombasa Rocks Festival  linalofanyika leo viwanja vya Golf Mombasa Kenya likiwa na wakali wengine kama Alikiba, Vanessa Mdee, Navio, Na wengineo.

Sasa mtue wangu nimefanikiwa kuinasa hii  picha ya jinsi alivyowasili kwenye hoteli iitwayo English Point Marina iliyopo Mombasa nchini Kenya.

No comments

Powered by Blogger.