https://www.profitablegatecpm.com/d5y14gf9mv?key=ea205d3b54dc213bb609cceb0fea9a6c

Rapa Future alalamika hasara aliyosababishiwa na Ciara



Rapa kutoka Atlanta ‘Future’ amekanusha kumsababishia Ciara hasara ya dola milioni 15. Awali Ciara alilalamika mahakamani kuwa anataka kulipwa fidia ya dola milioni 15 na Future baada ya rapa huyu kutoa maneno machafu kwa Ciara kwenye mtandao wa twitter na baadhi ya interview alizofanyiwa.

Future anasema hana imani Cici alipewa dili na kampuni yoyote na baadae kutemw ana kampuni hio sababu tu ya matusi ya yake.

Future ameomba mahakama itupilie mbali kesi ya Ciara yakudai dola milioni $15 na kwamba maneno ya Cici sio ya kweli.

Future alisema hivi kupitia twitter yake “I been silent for a year & a half..I ran outta patience…This bitch got control problems,” Hii ilikuwa januari mwaka huu.

No comments

Powered by Blogger.