https://www.profitablegatecpm.com/d5y14gf9mv?key=ea205d3b54dc213bb609cceb0fea9a6c

"Samaki Samaki" kutoka kwa Ramilian yakamilika....

Msanii chipkizi kutoka mkoani Tabora "Ramilian"  amesema kuwa aliingia studio kupika ngoma nyingine ambayo ameipa jina la samaki samaki ambayo tayali ishakamilika bado kuitambulisha tu, pia amewahi kutamba na kibao kinachokwenda kwa jina la "mimi na wewe"  alichofanyia kwa producer wa tabora St no:1, chini ya studio ya "Sb music"

Na ameomba mashabiki wake kumpa support kwa kile anachokifanya na kuahidi kuwa atazidi kuwaburudisha mashabiki zake kwa nyimbo nzuri na kusema kuwa hii nyimbo ya samaki samaki ni nyimbo ambayo anaamini mashabiki wataipokea vizur kwani ameipika na imepikika  " so stay tuned for that song" 

No comments

Powered by Blogger.