https://www.profitablegatecpm.com/d5y14gf9mv?key=ea205d3b54dc213bb609cceb0fea9a6c

Talaka ya Kim kardashian na Kanye West yanukia..


Kim Kardashian na mume wake Kanye West wameripotiwa kuelekea kutengana na hata Kim k
kudai talaka yake baada ya kukaa kwenye ndoa kwa miaka miwili na nusu.

Kwa mujibu wa Us Weekly Kim K ametajw akuwa yeye ndio anataka talaka hii na itakuwa talaka yake ya tatu baada ya kuachana na Damon Thomas na mcheza kikapu Kris Humphries.

Watu wa karibu na Kim K wanasema ni kweli ana taka talaka na haki zote za malezi ya watoto wao wawili ambao ni  North ‘3’ na Saint mwenye mwaka mmoja.

Kim K amekaa mbali na Kanye West kwa muda sasa toka aruhusiwe kutoka hospitalini baada ya kupata matatizo ya akili na msongo wa mawazo.

No comments

Powered by Blogger.