Uzinduzi wa Album ya Diamond Nchi Kenya Ulivyofana.(+picha)
Msanii wa bongo , Diamond Platinumz siku ya tarehe 14 march amezindua rasmi album yake ya A Boy From Tandale ikiwa na nyimbo 20.Diamond aliongozana na familia yake na team yake nzima ya wasafi kwa ajili ya kufanya uzinduzi huo nchi kenya na kujaza watu wengi sana katika ukumbi aliofanyia show.
Aki-perform jukwaani na wasanii wake walioko katika lebel yake lakini pia Diamond aliweza kufanya show na msanii mkubwa Duaniani kutoka nje ya bara la afrika Omarion.
Aki-perform jukwaani na wasanii wake walioko katika lebel yake lakini pia Diamond aliweza kufanya show na msanii mkubwa Duaniani kutoka nje ya bara la afrika Omarion.

Leave a Comment