https://www.profitablegatecpm.com/d5y14gf9mv?key=ea205d3b54dc213bb609cceb0fea9a6c

Mr Paul asainiwa shine record label, tutegemee makubwa kutoka kwake








Label ya shine record label inayomilikiwa na Mr David Kennedy shine imemtambulisha Mr Paul alietamba na wimbo wake wa zaman uendao kwa jina la Zuwena, pia label ina wasanii wengine wanaofanya vizuri kama teacher allen aliekuwa mwalimu wa diamond platinumz na wengine

Hizo hapo picha za Mr Paul






No comments

Powered by Blogger.